Volkswagen golf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Volkswagen golf

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamongo, Dec 22, 2011.

 1. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nimatumain yangu wote wazima, mimi niko intreresetd sana kununua Volkswagen golf ya mwaka 2000, cc 1600 au cc1800, kwa sababu naona magari aina ya Toyota bei iko juu, je spea zake hapa tanzania zinapatikana pili mafundi wakutengeneza hizi gari wapo hapa kwetu tanzania pia kati ya VW ya cc 1600 na 1800 ipi nzuri

  nawasilisha
   
 2. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  jamani naombeni msaada kwawanaojua hizi gari
   
Loading...