VoIP and SIP Trunking

VoIP and SIP Trunking

ellyminja

Member
Joined
May 30, 2016
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu wadau..nilitaka kutengeneza VoIP ambayo inaweza kupiga Simu kwa simu za kawaida...ambayo inaweza kupiga Simu international....nimeanzisha iyo VoIP na inapiga kazi vzuri on video,audio and text na haisumbui kabisa kwa kukatakata...ila niliomba msaada wenu kwa wanaojua kuhusu VoIp and SIP Trunking na nilitaka kufanya kibiashara na kww njia gani itawezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom