mkuuu samahani ila ungesema walau elfu 70 au hata 80 maana voda wanaziuza laki 1Vodafone 875 ya voda inauzwa hain tatzo imetumik wik moja firmware version 4.1 jelly bean
Pm anae hitaji laki na 35 bei yake. Karibun
Acha ujinga anaua nini hapo, vodashop waziuza hizo simu plus bando ya internet na call ya mwezi bei yao ni laki moja tu, wewe uliyetumia kwa mwezi mzima uuze laki na 35.Haaaa kak unaua hyo bei