Inawezekana hujanielewa au ni ujeuri tu mkuu..kampuni gani tena linatoa moderm kama hizi ambazo ni wireless? Hapa siongelei moderm za kawaida. Hizi zinauzwa 150,000 kama huwezi kunisaidia ni bora ukae kimya ndugu yangu.kutumia kwa modem ya voda kwa line zote ni kitu kiwezekanavyo. modem za voda kama k3571-z hazihitaji kufanyiwa chechote zinatumia any line na kuna baadhi zinahitaji unlocking. chukua hiyo modem yako mpya na uweke line ya airtel. kama haitasoma, angalia model number yake uweke hapa nitakupa msaada zaidi
regards leh
Acha wizi, nunua ya mtandao unaoona upo fasta!! maendeleo ya Tanzania yanaletwa na watanzania na yanaanza na wewe.
wakuu habari zenu.. nimenunua moderm kutoka vodacom ambayo unaweza kuitumia kama wireless. moderm hii ni aina ya Huawei ssid: Vodafone Mobile WiFi na speed yake ni 7.2Mbps. nataka niichakachue ili niweze kutumia line yoyote nawauliza wanajamvi kama hii kitu inawezekana au vip..nilipo speed ya voda ni ndogo sana.
Acha wizi, nunua ya mtandao unaoona upo fasta!! maendeleo ya Tanzania yanaletwa na watanzania na yanaanza na wewe.
mitandao ya simu inatuibia sana. We deserve more than that. Hapa tunajaribu kurudisha kidogo wanachotuibia. Kama wewe una uwezo wa kununua bundle ya laki na nusu poa. Lakini tutaendelea kupeana ujuzi kila wakati inapotokea tundu na kutuwezesha kupata vya bure. Nashukuru mwaka unakatika cjanunua kifurushi wala intanet cafe. Mambo yote room kwangu
what i really meant is, gharama wanazotoza ni kubwa kuliko huduma inayopatikana, na wanajua hakuna njia mbadala ya kupata huduma ya intanet isipokuwa kwa wao tu, inabidi tu kuingia huo mkataba, mfano: umenunua bundle na unapata 4kb/s sasa inakunufaisha vipi? hapo hata page ya kawaida itachukua zaidi ya dakika kufungua!Unaposema wanatuibia unakosea mkuu manake kununua au kutumia bidhaa ya mitandao ya simu ni mkataba unaingia wewe na kampun husika wameeka price we umenunua sasa wamekuibia nini?
Kaingia mitini.....!!! hawa ndio wale mawakala wa Voda kazi yao kuja kupima upepo humu Ngoja nikununue 4 za familia maana wakija ku customize modem zao tumekwisha wadau!!!
Wizi ni kutumia kitu bila kulipa..moderm yenyewe niliinunua 150,000 wizi uko wapi hapo? Au nisaidie ndugu yangu kama Tigo wanazo niende nikazinunue maana hapa nilipo tigo ndo ipo kasi ila najua tigo hawana hizi wireless moderm
hawa voda sio kwamba hawaelewi mambo ya customize wana jua sana mbona mordem zao za zamani kama k3565-rev 2 zilikuwa customize wakatoa K3570-z zikachakachuliwa kwa join air imekuaje kwa hizi za toleo jipya E173 zichakachuliwe kwa unlock code tu ? ni kwamba wamegundua wali ingiza pesa nyingi kwa kwa biashara za mordem za K-3570 ndio wakaona
watuletee za E173 ili tusisumbuke zaid na watu wote watakimbilia mordem zao wanacho jali ni maslahi yao tu na huko mbeleni usishangae zikawa unlocked kabisa
Mbona voda shop wameshusha bei sasa wanauza 30,000/= sema zile voda shop za wajuaji ndio wanauza 35,000 mpaka 44,500/=Yap upo sahihi fatma na ndo mana e173 yao wanauza 35,000 wakati e173 ya airtel ni 30,000 kwa competition ya mitandao ya nchini voda wangeeka customized na bei yao ya 35,000 wasingepata mtu. Wanauza 35,000 uchakachue ziuzike nyingi ili wapate profit wanajua kabisa
Mbona voda shop wameshusha bei sasa wanauza 30,000/= sema zile voda shop za wajuaji ndio wanauza 35,000 mpaka 44,500/=
kutumia kwa modem ya voda kwa line zote ni kitu kiwezekanavyo. modem za voda kama k3571-z hazihitaji kufanyiwa chechote zinatumia any line na kuna baadhi zinahitaji unlocking. chukua hiyo modem yako mpya na uweke line ya airtel. kama haitasoma, angalia model number yake uweke hapa nitakupa msaada zaidi
regards leh