realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 138
Jamani mbona hawa jamaa vodacom hawatoi taarifa juu ya kupunguza megabyte kwenye vifurushi vyao vya intaneti hili nalo ni jipu wanafanya ujinga huu kila wanapo jisikia kimya kimya waziri husika sijui kama anajua hili.mfano sh 500 ulikua unapata MB 180 ukijiunga sasa hivi wameshusha mpaka MB 150 kwa sh 500.