tatizo mnasajilia uchocholoni anayesajili mwenyew hata ofisi hana makaburasha yot anarudi nayo home mar mengin yanapotea
Kudadeki mi nimecheki artel yangu imesajiliwa kwa jina la demu wakati nilinunua line mpya kabisa nikaichana mwenyewe, huu ni upuuzi
Mimi nawashauri Voda kama wanataka Salama yao wanatakiwa kukamilisha wao wenyewe usajili uliobaki maana waliweka watu wao katika ofisi Mbovu na hawakuwalipa pesa zao na hivyo mafaili hayakulejeshwa kwao kama inavyotakiwa.Katika hali ya kushangaza zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuzimwa kwa simu zisizosajiliwa(01/06/2013) imeonekana simu nyingi sana zimesajiliwa usajili wa awal,i na wateja wanatakiwa kwenda kupanga foleni tena ili kukamilisha usajili.
SIMU YANGU NILIISAJILI TANGU MWAKA 2010, LAKINI NIMEANGALIA LEO NAONA NAAMBIWA SIKUKAMILISHA USAJILI.
Je! huu siyo uzembe wao na kutusababishia usumbufu? Na wengi hawajui hili, HEBU NA WEWE MWANA JAMVI ANGALIA SIMU YAKO KWA KUPIGA *106# UONE KAMA UMESAJILIWA AU LA. Ni wengi sana wamekutanana kadhia hii. Kwahili VODACOM mnapaswa kutuomba radhi kwa usumbufu.
nangoja wanifungie nami nikawafungulie kesi mahakamani, kama uzembe ni wa kwao na maajenti wao. maajenti wanalipwa, kwanini wasiwabane ili wawape taarifa zetu. sipangi foleni tena kwa uzembe wao...ova
usajili wangu umekamilika, na mimi nilisajiri mwanzano kabisa sijasajili tena, kwa hiyo mkuu hilo ni tatizo lako nenda ukakamilishe usajili la sivyo vigezo na masharti kuzingatiwa
mimi pia yamenikuta,nimesajili Tigo,kuja kuangalia jina la demu,na nimempa mpaka leseni yangu ya udereva,aandike kutoka humo.Kudadeki mi nimecheki artel yangu imesajiliwa kwa jina la demu wakati nilinunua line mpya kabisa nikaichana mwenyewe, huu ni upuuzi