Mwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Kampuni gani mkuu?Halafu hawa nimesikia kuna kampuni wanataka kuinunua kwa wasipobadirika watapata shida sana
Mhh sijakusoma kabisaaa!!Mwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Sio kweli naomba uthibotishe kwa screen shot mkuu hapa wote tuoneMwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Rudi nyumbani kumenogaMwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Ni kweli mkuuSio kweli naomba uthibotishe kwa screen shot mkuu hapa wote tuone
Acha uongo unawaharibia wenzio biashara mbona mi nmechezi bado ni unit 5 ndo sawa na dakiki 1 ya mitndao yote na unit 1 ni sawa n dkk 1 ya voda kwa vodaMwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Ni kweli kabisa anachosema,kifurushi cha pinduapindua ilikuwa voda-voda unit 1=dk1,voda kwenda makampuni mengine unit 5= dk 1 sasa hivi voda kwenda makampuni mengine unit 50 = dk 1Sio kweli naomba uthibotishe kwa screen shot mkuu hapa wote tuone
Ndo maana jana wamenikapuaMwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Hapa Kuna Jambo haliko sawa.Ni kweli kabisa anachosema,kifurushi cha pinduapindua ilikuwa voda-voda unit 1=dk1,voda kwenda makampuni mengine unit 5= dk 1 sasa hivi voda kwenda makampuni mengine unit 50 = dk 1