Una uhakika na hiyo bundle ya Tanzania? Halotel ambao ni cheap, hupati kwa bei hiyo.Voda Afrika kusini kifurushi cha mwezi 1GB kwa rand 149 ambayo ni kama shilingi 22,000/. Huko Tanzania unaweza kutumia 32,000/ kupata 16GB kwa mwezi (1GB kwa shilingi 2,000/)
SA na TZ ni nchi mbili tofauti. Uku kwetu tunakamuliwa na hii mitandao ya simu.
Umeongea vyema sana,Hongera.
Ni kama sinema fulani inachezwa,mtoa inawezekana hajaijua ila naye ni mmojawapo wa Washiriki wa Movie.
Swali la Msingi,Why Tanzania iwe mentioned kihivyooo?? Iweje ianze Mada yake kisha iwe connected na kujua what is going on TV against Mada?
Ninachojua,kuna Staff wanaswap baina ya SA na TZ,ndiyo maana nasema hii kama Movie.....unatafutiwa mbaali kama Sniper kisha mtu anataka kujenga Hoja hahaha kwa kulinganisha Nchi na Nchi.
Mamlaka Husika zipo na Taratibu zipo zifuatwe ila si kutaka kuleta Siasa za Mbaali namna hii.
Mbona umekazania sana hili?? Wewe ni mfanyakazi wa voda tanzania ?
inaonekana una hisa voda wewe...
voda saizi ni jina tu lakini huduma zao hovyo kabisa, wao wanaona MB ni anasa
View attachment 404628tazama hapa tz ndiyo tunaongoza kwa kuuza data bei rahisi kuliko wote.
****Huku kwetu TCRA inawaangalia tu hawa jamaa, wamepunguza kiasi cha MB unachopata to almost half
Halafu unavocompare vifurushi vya nchi mbalimbali mbona huangalii cost of living na purchasing power
e.g a bus ride in Canada costs 2.50 CAD dollars,which is almost 4000 tsh, lakini nauli ya daladala kwa Tz ni tsh 400 tu. Je daladala zikipandisha nauli, tusilalamike kisa tu nchi fulani wanalipa bei juu zaidi for the same service
Hajui hyo anaongea tuSA na TZ ni nchi mbili tofauti. Uku kwetu tunakamuliwa na hii mitandao ya simu.
****
UCHUMI WAO UKOJE?,MISHAHARA YAO KIMA CHA CHINI KIASI GANI?....per hours!
Hajui hyo anaongea tu
Makada wanakera sana
Am sorry but how is that chat has to do with prices from vodacome packages ??Usiongee usilolijua. Mimi huwa sivutwi kwa hisia za uchama.
Niambie uchumi wetu umefanana na nchi gani katika hii chart.
ya juzi hiiHii ni ya Lini? Maana bei zimebadilika mara kadhaa toka Mh Magu aingie madarakani
Inaonekana cheap. Nisaidie link km hutajaliya juzi hii
Una uhakika na hiyo bundle ya Tanzania? Halotel ambao ni cheap, hupati kwa bei hiyo.