Vodacom wamezidisha wizi


Kwanini usiwapigie uwaambie hutaki na ujitoe/wakutoe...?
 
Jamani si vodacom peke yake ndiyo wanatuibia. Wawekezaji wengi katika sekta mbali mbali wanafanya wanavyotaka bila kuulizwa na mamlaka husika. Hili li- nchi limekuwa shamba la bibi yeyote anavuna bila kuulizwa. Tutaendelea kuibiwa hata hapo tutakapotoa tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…