Vodacom waboreshe zaidi katika hili...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Ukituma hela kwa mpesa, kwenye process mwishoni unapewa msg ..."unatuma sh .... kwenda namba 075..... bonyeza i kuthibitisha au 2 kubatilisha. Nawashauri ili kupunguza adha za wateja kutuma hela kimakosa, ...kwenda namba... wabadilishe wafanye ...kwenda kwa ....(wataje jina la mwenye simu), kama ilivyo tigo. itawawezesha wateja kuhakiki kama wanatuma kwa mlengwa

Asante
 

Kweli kabisa naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…