Pragmatist
Member
- Sep 21, 2012
- 18
- 1
Nilijiunga na SUPA CHEKA ya VODACOM kwa kulipa Shs. 400. Nilipewa dakika 15 za maongezi, SMS 100 na MB 50 za intaneti. Ajabu ni kuwa baada ya kutuma SMS 28 nililetewa meseji na VODACOM kuwa SMS 100 nilizopewa zimeisha! Nilinunua SUPA CHEKA tena na nilipotuma SMS 17 nikaambiwa SMS 100 zimeisha! Huu si wizi? VODACOM wasiwafanye Watanzania ni mbumbumbu. Waheshimu kile wanachokitangaza kwa wateja wao.
Analosema Pragmatist linawezekana ni la kweli. Kwanini mnabisha wakati ndiye aliyeleta lalamiko? Au kwa kuwa hayajawatokea? Haya makampuni ya simu kwa ujumla wake yajirebebishe sasa!
wacheki kwenye twitter watakuangalizia nini tatizo kwako.
Ila mimi natumia daily--No Problemo
@vodacomTanzania
[h=2]@VodacomTanzania[/h]
Nilijiunga na SUPA CHEKA ya VODACOM kwa kulipa Shs. 400. Nilipewa dakika 15 za maongezi, SMS 100 na MB 50 za intaneti. Ajabu ni kuwa baada ya kutuma SMS 28 nililetewa meseji na VODACOM kuwa SMS 100 nilizopewa zimeisha! Nilinunua SUPA CHEKA tena na nilipotuma SMS 17 nikaambiwa SMS 100 zimeisha! Huu si wizi? VODACOM wasiwafanye Watanzania ni mbumbumbu. Waheshimu kile wanachokitangaza kwa wateja wao.
Mitandao yote wezi watupu. Airtel ndio balaa, unaambiwa kunitumia SMS 10 unapata 200 za bure, ukituma SMS 10, unaambiwa zimebaki 190, ukituma nyingine 2 unaambiwa zimebaki 170. Mwisho wa Siku unnatural SMS 20 unaambiwa SMS 200 zimeisha. Wiki mtupuNilijiunga na SUPA CHEKA ya VODACOM kwa kulipa Shs. 400. Nilipewa dakika 15 za maongezi, SMS 100 na MB 50 za intaneti. Ajabu ni kuwa baada ya kutuma SMS 28 nililetewa meseji na VODACOM kuwa SMS 100 nilizopewa zimeisha! Nilinunua SUPA CHEKA tena na nilipotuma SMS 17 nikaambiwa SMS 100 zimeisha! Huu si wizi? VODACOM wasiwafanye Watanzania ni mbumbumbu. Waheshimu kile wanachokitangaza kwa wateja wao.
kama unaandika sms ndevu kama barua unategemea nini!!