Yani voda noma 500 unapewa sms 500 ,mb 500 na dakika 50 hii vyuoni tu na speed yake iko poa.
Yaan nimemiss hiyo offer nipo likizo nilizoe kushusha vampire diaries.
Wataalam hatuwezi kuhack hii huduma na kuitumia popote pale