Vodacom tz mastercad

ahsante voda na bank ya bancbc kwa kutufanya watanzania kuweza kufanya vitu ambavyo wengi hatukuwa na uwezo wa kuvifanya kwasababu ya kutokuwa na debt cards
 
Wakuu cardname unaingiza jina lipi??msaada kwa yeyote ambae amewahi kutumia. Nimejaribu kuingiza jina lililosajiliwa kwenye line lakini sijafanikiwa
 
wakuu mm shida yangu nimeshindwa kujisajili nayo paypal msaada wenu Tafadhali
Nadhani kuna kuna issue kwenye hizi card,Nimejaribu kuwasiliana na wafanyakazi wa vodacom but it seems hata wao hawana knowledge ya kutosha kwenye product zao,kwa kifupi wameshindwa kutatua tatizo langu,hivyo nimeamua kuendelea kutumia prepaid card yangu kufanya miamala.
 
Kama watakuwa wamefanya hivi basi watu wa mikoani watakuwa wametusaidia mana kutumia card ya crdb ni stress tu
 
Kingine usichokijua ni kua hakuna raia hata 1 wa Tanzania anayetumia Bank ya tz au line ya tz kupokelea pesa aliyewahi kulipwakutia paypal. BOT hawajaruhusu wabongo tulipwe kwa paypal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…