Vodacom,tiGo,Airtel nawengine mnatunyonya sanaa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Nasema nyie ni wezi ni hapa,Kwanini ninapo nunua Muda wamaongezi hamnipangii mwisho wa matumizi???

Lakini nikinunua kifurushi cha Data mnanipangia tarehe ya Mwisho ya matumizi ya kifurushi nilichokinunua kwa pesa yangu?? Je sababu ni zipi maana nikinunua kifurushi cha laki natakiwa nipange mwenyewe jinsi ya kutumia siyo nyinyi mnipangie mwisho wamatumizi na bado hapo kikiwa hakijaisha tarehe imefika kinakatwa!! Huu ni wizi wa mchana kweupe! Je hakuna namna nyingine ya bila kumpangia mteja mwisho wa matumizi??
Nawakilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom