vodacom tatizo la kusaijili bundle mpaka lini?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
2011-04-06 12:44:20

Data bundle is being processed, SMS confirmation will be received, don't re-send SMS/Ununuzi unafanyiwa kazi, utapokea SMS kuthibitisha, Usitume tena SMS.


You have depleted your data bundle. Further data usage will be rated at standard tariff. Buy another data bundle to benefit from lower data tariffs.

nsufficientFunds

Hizi message zinakatisha tamaa, leo nimejaribu baada ya kuiweka kando, pamoja na kuwapigia wamekubari kuwa kuna tatizo, kama hawawezi basi watuambie kuwa huduma hii ni mbovu kwa muda tukilekebisha tutakujulisha

ukipiga simu wanakueleza tatizo la M-pesa la internet wanaweka kandoni
 
...Afadhali hata wewe wamekuambia kweli kuna tatizo! mimi walikuwa wanataka kusukumizia tatizo kwangu ati nilikuwa nakosea namna ya kutuma wakati nimekuwa nikitumia huduma hiyo kwa zaidi ya mwaka sasa!!! Nimechukia mno!!!:yell:
 
naona tuamie airtel gari kubwa maana vodacom longolongo tupu, huwa nikiwapigie wanaangalia pesa wanasema zipo ila zipo pending, hao wataalam wa IT wako dunia gani? dunia ya kusubiri kujaza data au kualocate data ndio cku zote hizi
 
2011-04-06 15:23:53


najibiwa
nsufficientFunds

baada ya masaa matatu nilisashaanza kutumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom