Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
Naomba nisaidiwe jamani maana naona kama imekuwa too much ninatumia vodacom modem sasa last week nilijiunga na bundle ya 500MB lakini baada ya siku moja mkwanja ukawa umekwisha kitu ambacho si cha kawaida maana siku zote huwa natumia na siwezi kuimaliza kwa mwezi .. the funny thing is nilipojiunga kwenye hii bundle ya 500MB na ikaisha bila mie kutegemea imekwisha namna gani nikaenda vodashop wakanambia ni kwa sababu sikuconferm text yao ya kusema kuwa nimeshakuwa na ruksa ya ku2mia hiyo 500mb, nikaona isiwe taabu nikawalipa 20000 nikawaambia waniwekee kabisa cha ajabu leo hii 500MB imeshaisha na ni siku mbili tu nimewalipa sasa nifanyeje jamani maana sijadownload ki2 hata chenye ukubwa wa 10MB sasa siajajua nifanyeje kabisaaaa..
naomberni ni njia gani niitumie kuclaim salio langu wajamani?
naomberni ni njia gani niitumie kuclaim salio langu wajamani?