Vodacom rekebisheni network yenu, M-PESA imegoma toka jana

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,887
1,350
Naona M-PESA inasumbua toka Jana watu tunajaribu kununua Umeme ila inakataa nafikiri ni tatizo la network walirekebishe haraka.Hii inaleta usumbufu kwetu Wateja.
1484458144940.png
1484458164526.png
 
Kumbe......Jana nilishangaa sana, kila nikifanya muamala natumiwa text eti account yangu ina tatizo.
 
Back
Top Bottom