Vodacom nuksi sana

Mnawaonea bure tu voda, wao wanatekeleza sheria iliyopitishwa bungeni! Ndo maisha bora kwa kila mtz yanavyotafutwa. Yana gharama sana kuyapata! Chezea kodi ya tozo nyie!
 
voda nuksi sana
 
Yanini kuhangaika na mjinga VODA ? Mitandao mingine ipo. wamekula tsh 4,500 zangu waqt najaribu kkijiunga. nimewaachia hizo wanenepe

duh ndomana makampuni hayo wana hela nyingi ila ya dhuluma
 

Hakuna wiz wala nini! kwani nyie munatumia voda ya nchigani?
 
Kwakwel hata mini voda wameshanikera sana, mfano ukijiunga na kifurushi ukaacha salio kweny account yako kifurushi kikiisha na salio lile wanafyeka,kero nyingne ukitaka kujiunga na tuseme cheka ya 500 ukiwa na salio la mia 700 ukijaribu kujiunga unaambiwa salio lako halitoshi, ukisema ujaribu kuwapigia customer care wanafyeka salio balaa sa nyingne hata hujafanikiwa kuongea nao, VODA ACHEN WIZI WA HAZARANI.Kwenye telecom kuna kitu kinaitwa ALLOW OUT OF BUNDLE USAGE NA DISALOW OUT OF BUNFLE USAGE,VODA ONDOEN ALLOW OUT OF BUNF BUNDLE USAGE MUACHE KUTAFUNA HELA ZA WATU.
 
m-pawa ya voda vipi? - saccos unakopa mara 3 hivi ya hela ulizo save nao lakini m-pawa unakopa 30% ya hela zako unazo save na kulipia riba ya mkopo!!! cheza na vodacom!!
 
Walishawai kuniibia 4000, lakini bado niko nao sababu Internet hapa nilipo wao ndio wanafunika.
 

huko KOROGWE wanalia leo siku ya 3 akuna internet wanakula bandle za watu tu .voda kazi ni kwetu
 
kila mkoaa wakiwaibia wateja wao sh 500 tena nch nzima si watakua na hela nyingi tena katika kipindi cha dakika 10 tu
 
voda badilikeni acheni tamaa jalini wateja zenu
 
Voda kwangu wamewekeza hivi: Najiunga kifurushi cha sh 649 mara ya kwanza kimyaa, hawarudishi message wala hawakati salio. Napiga tena kujaribu kujiunga mara ya pili, napo kimyaa na salio hawakati kabisaaa. Nasema ngoja nijaribu mara ya mwisho, napiga namba ya kujiunga mara ya tatu napo kimya kidogo kinapita. Baada ya dakika takribani tano zinaingia message wameniunganisha mara zote tatu na wamekula pesa zote 649x3! Yaani hadi najiunga tigo peke yake sasa
 

voda nuksi kweli....
 
Sio Siri nasikitika sana.. Mimi pia ni mteja wa Vodacom . Wanatuibia sana kiasi kwamba naogopa kuweka salio. Mwogopeni Mungu. Yote yana mwisho inshallah..
 

Ni kweli kabisa ndivyo wanavyofanya! Hawa jamaa Ni hatari..
 
Mi nishafunga ndoa na tigo kwa kuwa haikati hovyo pia usipende kujiunga na huduma zisizo na umuhimu kama caller tune sijui habari sijui mikopo ya kila siku bila sababu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…