Tembele JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 1,154 Reaction score 350 Nov 2, 2013 #21 Weka Picha
B Balacuda JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 1,389 Reaction score 716 Nov 2, 2013 #22 hata ile elfu moja wanayosema umepewa ukitumia mpesa mi sijawahi kuitumia
N NIFEDIPINE JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 216 Reaction score 227 Nov 2, 2013 #23 Mie nikitaka kuweka cheka bombastiki nahakikisha salio lang ni tsh.5 ndo najiunga.maisha plus
B Bad Spender Member Joined Aug 21, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Nov 2, 2013 #24 Kiukweli hawa jamaa wanaboa kwani jana usiku nilinunua dakika 20 za kupiga voda-voda matokeo yake asubuhi ya leo nilimpigia mtu wa kwanza nilitumia dakika 12 then nikampigia mtu wa pili nikaongea dakika kama 3.Chakushangaza nilipigiwa alamu.
Kiukweli hawa jamaa wanaboa kwani jana usiku nilinunua dakika 20 za kupiga voda-voda matokeo yake asubuhi ya leo nilimpigia mtu wa kwanza nilitumia dakika 12 then nikampigia mtu wa pili nikaongea dakika kama 3.Chakushangaza nilipigiwa alamu.