vodacom ni matapeli!!!

vodacom ni matapeli!!!

sulfametopyrazine

Senior Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
134
Reaction score
26
kuanzia kwny vifurush vya uongo mpk matangazo feki yani voda expo..m nlijua 2 kuna kaujanja katafanyika 2 kwani ckumuona m2 aliyenunua cmu yoyote ambayo ipo ktk discount list bali wa2 walinunua cmu kwa7bu walikuwa na pesa mkononi tena kwa bei aghali. Hivi wanafikir wabongo hatuna akili eti ipad 2 inauzwa 700k afu hio ni 60% off ..duuhh nmewashusha thaman voda kwa kwel cku hiz.ukizubaa 2 lazma ukatwe kidizain flani...
 
nenda polisi kaka ndo sehemu ya kushtakia sio humu hamna atakae kuskia au mara mia ungepost kwenye page yao ya facebook.
 
Lugha za kibiashara mzee, siwasifii hata kidogo ila katika matangazo yao walisema bidhaa hadi kufikia 60% off ina maana sio zote, mfaano router inayo support simcard ilikuwa ikiuzwa 70000 wakati mimi nishawahi nunua dukani 150000
 
Mi nimechukua hivyo vidude ZTE K3805-Z kwa 15,000 wala sijutii ela yangu maana vinakimbiza mbaya

View attachment 119682


ADIMU.jpg

ADIMU2.jpg
 
bei ya kawaida ni sh ngap? hii ndo inatakiwa mitandao waeke kama standard sasa
sIJUI WANAUZA MAPESA MANGAPI MAANA WATU TUMEFAKAMIA TU VYA UBWETE!!!!!!
VIDUDE VINA SEHEEMU YA KUCHOMEKA BOOSTER ANTENNA ILA KWENYE FURUSH HAWAKUIFUNGASHA JE NAWEZA PATA WAPI HAYO MAKITU ILI NISIKILIZIE MZIKI WA HSDPA




VODA ANNT.jpg
 
sIJUI WANAUZA MAPESA MANGAPI MAANA WATU TUMEFAKAMIA TU VYA UBWETE!!!!!!
VIDUDE VINA SEHEEMU YA KUCHOMEKA BOOSTER ANTENNA ILA KWENYE FURUSH HAWAKUIFUNGASHA JE NAWEZA PATA WAPI HAYO MAKITU ILI NISIKILIZIE MZIKI WA HSDPA




View attachment 119700

kama signal imejaa hata ununue hivyo vi antena haitasaidia labda iwe signal ni ndogo.

sifaham hata vinapatikana wap
 
Utapeli uko wapi hapo au umetumwa na tigo?
 
sTRENGTH signal haiko full ni 3bars boss

kama kuna mwenye nacho hebu muombe utest kwanza ila kwa experience yangu na voda 3bars unapata speed kama ambaye imejaa.

tigo ndio bars zikiwa ndogo na speed inashuka
 
Back
Top Bottom