Vodacom na Tigo Lini mtaleta huduma ya E-Sim

Watchtower

Member
Joined
Sep 18, 2022
Posts
93
Reaction score
182
Wakuu, Kwa tanzania mpaka sasa ni airtel pekee yake ndo ana huduma ya Esim, Vipi hii mtandao mingine mna mpango gani wa kuanzia huduma iyo?
 
washaleta ila ni 6k kuactivate wakati airtel ni 1k tu...
 
Umeshawi kuwa nunulia server na vifaa vyake.
Unafahamu Kila teknolojia inapoongezeka inabidi kuongeza vifaa.
Wajamaliza mfumo wa 5G unataka E-sim.
 
Now Airtel, Vodacom na tiGO washaleta hii huduma..

1. Airtel ku activate ni bure

2. Vodacom ku activate ni 6000

3. tiGO ku activate ni 5000

.............................................................................
 
Wakuu, Kwa tanzania mpaka sasa ni airtel pekee yake ndo ana huduma ya Esim, Vipi hii mtandao mingine mna mpango gani wa kuanzia huduma iyo?
Hv simu yenye lain moja nikiweka huduma ya e-sim means zitakuwa lain mbili au inakuwaje hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…