Vodacom na JAY Milion Wezi

Vodacom na JAY Milion Wezi

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,063
Reaction score
2,872
Kila nikiweka Vocha Vodacom wanakata bila maelezo. Nikiwauliza customer care wanasema eti ninakatwa Jay Milion.Ikiwa ndivyo mbona sipati Ujumbe wa Kushinda au Kukosa. Imetosha VODACOM acheni WIZI
 
Wanakera sana hawa voda siwapendi ka nini na promotion zao za wizi....afadhari airtel mpaka ujiunge kifurushi unaingizwa direct ....sasa voda ni shida mpaka line yao situmii mpaka wamalize wizi wao huo
 
Nina mwaka wa nane na voda lakini ujinga ujinga wao sijunginao lakini chaajabu wananikata ela yangu bila ya sababu,sijui mwisho wake lini
 
Back
Top Bottom