Heri Wewe Jana Mimi nimekatwa elfu 30 mwezi Wa 3 unaenda sijalipwa.wananiomba samahani wanadai eti wamehama kutoka 1G kwenda 2G hivyo imewaletea matatizo mengi ambayo wanaendelea kuyatatua .yaani kwakweli siwaelewiIn juzi tu nimelipia DSTV kupitia vodacom mida ya jioni saa 12, huwezi amini nimekaa hadi saa tatu usiku hakuna msg yoyote hata ya m-pesa kuonyesha nimelipia huduma, baadae nikaamua kuwapigia simu wakajibu kuna tatizo la kimtandao lkn msg nitapokea muda mfupi ujao, nimekaa hadi asubuhi hamna jibu, nikapiga tena nikajibiwa kwamba kuna tatizo la mtandao nisubirie saa 72, nilichoka kwa jibu nililopewa, nikakaa hadi jioni nikapiga tena nikajibiwa ikitimia masaa 24 muda uleule niliolipia nitapata msg, ikapita bila msg yoyote sasa ni asubuhi hamna jibu na hela walishakata, sina huduma hadi saiz ni haki hii jamani.
hawa wanatufukuza kwa mbinu za kutuibia na kutusumbua. huenda wana wateja wengi hvyo wamezidiwa. mm nlitumia zaid ya lak moja kisa kufatilia pesa yang nlituma bank 4'900'000 wakaisitisha haiend bank wala sipati sms mpka babang aliwekwa police kwa ajil ya upumbavu wa voda. NAICHUKIA VODA, NAWACHUKIA WAFANYAKAZI WA VODA NAICHUKIA M-PESA.In juzi tu nimelipia DSTV kupitia vodacom mida ya jioni saa 12, huwezi amini nimekaa hadi saa tatu usiku hakuna msg yoyote hata ya m-pesa kuonyesha nimelipia huduma, baadae nikaamua kuwapigia simu wakajibu kuna tatizo la kimtandao lkn msg nitapokea muda mfupi ujao, nimekaa hadi asubuhi hamna jibu, nikapiga tena nikajibiwa kwamba kuna tatizo la mtandao nisubirie saa 72, nilichoka kwa jibu nililopewa, nikakaa hadi jioni nikapiga tena nikajibiwa ikitimia masaa 24 muda uleule niliolipia nitapata msg, ikapita bila msg yoyote sasa ni asubuhi hamna jibu na hela walishakata, sina huduma hadi saiz ni haki hii jamani.
Si kweliChanzo cha wizi kuongezeka ni CCM
Vodacom ni shida sana. Ukifanya malipo yoyote kupitia mpesa kuna asilimia 50 ya kutofanikiwa. Nimechoka pale ambapo namba yangu ya voda niliyoisajili kitambo eti leo hii nikitaka kutumiwa pesa inasomeka kuwa ni ya mtu mwingine. Nilipowafuata wakasema nikaape mahakamani, inasikitisha sana
Ni kweli mwana JF, naomba nielekeze ofisi yao nina issues nyingi sana na hawa jamaa.Nenda ofisini kwao.!