Hii inaweza kuwa ndo sababu!!Sababu yaweza kua ushindani, hawataki utumie m-pesa ukiwa mtandao mwingine, kwa wale ambao wanawahitaji voda kwa ajili ya m-pesa peke yake watakimbia mtandao.
Kwenye server wameruhusu requests zinazotoka kwenye vodacom ip addresses peke yake, na nahisi inaweza kua unblocked, kwamba ni bure data yote inayopita kwenye hiyo server ip address.
Hivi kuna haja gani au umuhim gani wa kutumia hizo apps wakati normal routine zinafanya kazi, hebu nijuze ili na mm niwe mshirkiKuna hii app ya MPESA.Nimeijaribu kwenye Wifi ikakataa error message ni kwamba mpaka kutumia mobile data.Nikatumia mobile data kwa Halotel ikaonyesha haipati server.Nikatumia VodaCom data ndo ikakubali.Sasa kama app ni ya Internet kwa nini ibague Wifi na mobile data za mitandao mingine isipokuwa VodaCom tu.
Vodacom ni hovyo kabisa, nami nimejaribu haifanyi kazi
Hapana tigo wakati wa kujisajili tu ndiyo lazima utumia na internet yao, lakini kwenye matumizi kama Simu yako ni dual sim basi unateleza na internet provide mwingine na inafunguka bila pingamizi na miamala inakwenda njema kabisa, Voda bado waendelee kurekebisha.Hata application ya Tigo ni hivohivo ndo walivyo amua mpaka uweke laini yao