Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

Halotel
Buku GB1 siku 7
Buku 5 GB 7 siku 7
Buku 3 GB 3 siku 7
*150*88#

KUPANGA NI KUCHAGUA
Halotel ndio mtandao wenye gharama nafuu zaidi kwa upande wa vifurushi vya data. ila siku hizi speed yako imekuwa changamoto sana tofauti na mwanzoni wakati wanaanza anza. Voda ni ghali lakini upande wa speed ya internet wako vizuri sana hata ukiwa vijijini.
 
Ndio unabonyeza *149*03#ok kisha unachagua namba 2 internet nfo inakuletea hivo hiyo namba moja nfo unapata mb hizo.
Ila ni mb tupu hupati sijui msg wala muda wa maongezi
Kwangu haipo hiko kifurushi. Nikienda kwenye namba 2 nakuta vifurushi vya ovyo tu. ila nikiingia kwenye UNI offer kuna kifurushi cha 1,500/= gb 1 na dakika kwa siku 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…