Kaka usipotoshe umma,izi ni misconception za watu wa mtaani asa vijiweni in short azina mashiko.......jenga utaratibu wa kupitia bank statement yako kila mara na kama kuna entry una wasi wasi nayo seek maelezo utaelimishwaduuu benki tunaibiwa na kwenye simu pia tunaibiwa sasa hizi hela itabidi tuzichimbie chini sasa.
a fan of alias, niiiceduuu benki tunaibiwa na kwenye simu pia tunaibiwa sasa hizi hela itabidi tuzichimbie chini sasa.
ustarabu hauna receipt,mind you,this might end up to your belt one day,and what do i gain anyway if i dont compromise to people like you.
naomba watumiaji wa vodacom M pesa muwe makini inawezekana kampuni haina habari lakini nimepotelewa na Tsh. 65,000/- kwa kipindi cha wiki tatu, instalment mbili,mwanzo elfu kumi na tano,na jana elfu hamsini,na pia huduma kwa wateja haipatikani kwa miezi mitatu sasa,
a company with high reputation cant be cheap like this,who knows,posibly the second DECI.
ukichimbia napo utaibiwa tu! Heri kama unazo kula tu mwanangu kifo kama vile israeli kahamia Tz!duuu benki tunaibiwa na kwenye simu pia tunaibiwa sasa hizi hela itabidi tuzichimbie chini sasa.