Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,756
- 8,493
Kwanini usingemaliza kusoma post nzima ya jamaa kabla hujajibu hiki ulichojibu. Muda mwingine busara kidogo tu inatosha kufanya maisha yetu yawe stess- free every day. Ona sasa maumivu uliyomsababishia mtu ambaye alikuwa ana support mada yakoNamba yangu ni 0754 84 33 88 nina balance ya airtime ths 1,520,882/= na ujumbe wa jana kwamba nimepatiwa kifurushi cha elfu tisa bado ninao; msiwe na mawazo ya kimasikini kila siku, angalia hoja na misingi yake sio kukurupuka
#KukurupukaSiyoDili