N Ngalewa Member Joined Jun 24, 2012 Posts 97 Reaction score 11 Mar 31, 2015 #21 Hiyo huduma ya MB 100,SMS 500,DK20 inapatikana kwa walio mikoani tu na ni kwa mteja yeyote me si wakala na nimejiunga mara kibao mpaka sasa simu yangu ina sms 13,823 walio Dar huduma haipatikani.
Hiyo huduma ya MB 100,SMS 500,DK20 inapatikana kwa walio mikoani tu na ni kwa mteja yeyote me si wakala na nimejiunga mara kibao mpaka sasa simu yangu ina sms 13,823 walio Dar huduma haipatikani.