Jamaa yangu kaliwa mshahara mzima in a few hours.
Zkiisha ndan ya cku 1 nawez unga tena,??Pata MB 100 DAKIKA 20 MITANDAO YOTE SMS 500 tumia ndan ya miezi 6 kwa 1000/= tu niPM nikunganishe NI KWA TIGO TU
1Gb kwa 275,000/= ??Wataalam naomba kupata ukweli juu ya gharama mpya za internet Vodacom. Je, kuna mtandao nafuu zaidi ya Voda?
Zkiisha ndan ya cku 1 nawez unga tena,??
Pata MB 100 DAKIKA 20 MITANDAO YOTE SMS 500
tumia ndan ya miezi 6 kwa 1000/= tu niPM
nikunganishe NI KWA TIGO TU
Jamaa ni mwongo sana mpaka sasa natumia Voda internet. Nilinunua 5GB kwa 25,000/= tu.
Wataalam naomba kupata ukweli juu ya gharama mpya za internet Vodacom. Je, kuna mtandao nafuu zaidi ya Voda?
Mpaka akuPM?
ndio mkuu
Acha kupotezea watu muda.
Kuandika tu hivi unashindwa ?
Dial *148*00# >>> 1. OFA MAALUM >>> 5. DAKIKA 20 BILA KIKOMO
Pata dakika 20 mitandao yote, 100MB na SMS 500 Mwaka mzima.