VODACOM imeshakuwa kero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VODACOM imeshakuwa kero

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Engager, Aug 1, 2011.

 1. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa naupenda sana mtandao huu. Lakn sasa naona unanichosha. Kero tupu. Mi nijuavyo mtandao wa sm za mkonon kaz yake n kuleta mawasiliana, si mawasiliano2 bali mawasiliano bora. Ths is the main haya mengine ni sub tu. Knacho nishangaza mimi kwa hawa ndugu zetu voda wanafanya mawasiliano kuwa magum, hasa nyakat za usiku. Unataka kumpigia m2 sm watakusumbua weee! Et error in network, utarudia karbia mara kumi ndo wakuunganishe. Wakati mwingine unaweza ukatuma sms, inaenda lakn haimfikii mlengwa hadi et utume ya pili ndo utaona zinamfikia tena zote mbili. Sasa sjui hili tatzo lipo huku Geita tu au ni nch nzima. Tena naona walipobadili tu sera yao ya 'MTANDAO UNAOONGOZA TZ' nakua 'KAZI NI KWAKO' mafyongo yakaanzia hapo. Sasa sjui hii kampuni imeuzwa kwa mchina!!. Watu wa voda fanyien kaz hili. Imeshakuwa kero.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ulishawahi ripoti customer care yao? nakumbuka kuna jamaa yangu anaishi kimara yeye alikuwa na tatizo na internet hapati kabsaa alitukana matusi yooote. nikamshauri apige customer care ya voda. jamaa alipiga akasaidiwa sasa ana enjoy internet kwa kwenda mbele
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  The rise and fall of Rostam Aziz
   
 4. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu pole sana kwa yanayokukuta.Kwa ufupi hiyo inatokana na mji wa Geita kukua kwa kasi sana na kusababisha watumiaji wa simu kuongezeka na kufanya mitambo kuzidiwa hasa nyakati za usiku kwani ndio muda ambao watumiaja wanakuwa wengi so kunakuwa na 'traffic congestion'.Kwa hiyo ngoja niwashauri watu wa network planning kufanya survey na kuangalia uwezekano wa kufanya upgrade on existing network or to add another tower.
   
 5. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  kwa kweli imeshakuwa kero kila mahali si sms si M-PESA shida tu!
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tatizo VODA wamejisahau wameegemea shughuli za kibenki zaidi ( MPESA) wakasahau mobile services!
   
 7. w

  watarime Senior Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu mm niko Dar hilo tatzo ni nchi nzima jamaa wamezidiwa na product nying lead by M-Pesa currently!!!!!!!
   
Loading...