Vodacom Huduma kwa wateja is dead?

Vodacom Huduma kwa wateja is dead?

Niliweka akiba mpawa asee ile pesa ilitoweka, kila nikiwapigia simu hawana jibu, pole yako mkuu
 
Binafsi natumia VODA kwa muda mrefu sasa na nilishawahi kutoa 300k nikapata ujumbe lakini kwa wakala hamna ujumbe na salio limepungua. Nilichanganyikiwa sana but hela ilirudi ndani ya 24 hrs. So wewe utunze taarifa za muamara na code zake. VODA nawaamini sana nawe utakuwa umepanic tu but wapo vizuri sana katika huduma zao hasa za kifedha,mengine ni makosa madogo madogo ambayo hata benki wanayo
Limenitokea tatizo kama hilo na niliwasiliana nao pale pale, lakini hii wiki ya tatu sasa nazunguushwa tu, kwa kweli sikutegemea........i
 
Limenitokea tatizo kama hilo na niliwasiliana nao pale pale, lakini hii wiki ya tatu sasa nazunguushwa tu, kwa kweli sikutegemea........i
Wananchi inabidi tupate utaratibu wa kuwashitaki.
TCRA na hata Benki Kuu kazima waellimishe watu juu ya utaratibu wa kuwashitaki iwapo miamala inachezewa na watoa huduma.
 
Wamelala ...mbona nimepiga huduma kwa wateja Jana usiku na tatizo limeshughulikiwa?!
 
Wananchi inabidi tupate utaratibu wa kuwashitaki.
TCRA na hata Benki Kuu kazima waellimishe watu juu ya utaratibu wa kuwashitaki iwapo miamala inachezewa na watoa huduma.
Ni sawa sana mkuu.
Hii huduma ya Mpesa si hisani, ni business contract.

Inabidi tuwapate TCRA/BOT kwa namna ya kuwashitaki watoa huduma wasiotekeleza wajibu wao.
 
Back
Top Bottom