AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 6,906 Reaction score 5,695 Jan 22, 2014 #101 Joe Nyandigira said: watu wakiiona hii watakuja nduki Click to expand... Yaani we acha tu! watu tunamizigo kibao ya kushusha ipo waiting list.
Joe Nyandigira said: watu wakiiona hii watakuja nduki Click to expand... Yaani we acha tu! watu tunamizigo kibao ya kushusha ipo waiting list.
UncleJoe JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 624 Reaction score 508 Jan 22, 2014 #102 AlP0L0 said: Yaani we acha tu! watu tunamizigo kibao ya kushusha ipo waiting list. Click to expand... halafu voda wameua zaidi kwa kubana zaidi kwenye cheka ya usiku kutoka unlimited mpaka gb moja. kudadadeki huu mwaka wa shetani
AlP0L0 said: Yaani we acha tu! watu tunamizigo kibao ya kushusha ipo waiting list. Click to expand... halafu voda wameua zaidi kwa kubana zaidi kwenye cheka ya usiku kutoka unlimited mpaka gb moja. kudadadeki huu mwaka wa shetani
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Jan 23, 2014 #103 Mkuu msaada hapo ktk zantel bando zao mooooto. wafanyaje? mana napumulia tigo zantel yupo kabatn qq.com said: lakini pia ile ya zamani kupitia mozila nayo inapiga mzigo kama kawa. na zantel pia mimi nakula vitu. thanks mkuu Click to expand...
Mkuu msaada hapo ktk zantel bando zao mooooto. wafanyaje? mana napumulia tigo zantel yupo kabatn qq.com said: lakini pia ile ya zamani kupitia mozila nayo inapiga mzigo kama kawa. na zantel pia mimi nakula vitu. thanks mkuu Click to expand...