Vodacom free internet kamwe husijaribu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom free internet kamwe husijaribu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by qq.com, Feb 27, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wakuu,nina wiki moja natumia moderm ya voda free kucheza youtube video kwa zile IP adddres zilizotolewa na E2thmiza na wenzake.

  lakini leo nimejaribu kuuunga kifurushi cha siku moja cha 150MB kwa sh 3000 lakini ndani ya dk 1 zilishakombwa.
  nikanunua MB 20 ya sh 500 kwa test ikakombwa kwa sekunde.hivi kumbe wanarudisha pesa yao yote niliyotumia free?

  hivyo wale wanaofurahia vya bure kihama chaja wakuu

  nipo nimenyeshewa na mvua,nifanyeje?
   
 2. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,721
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  baki hko hko au nunua line nyngne
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaha teh teh teh teh teh sa kwanini umeamua kununua wakati cha bure kipo au vocha ilikua inawasha inataka kununua bundle... Pole
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,790
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  Kwa muono wangu wewe umezoea kuunga internet mara kwa mara then computer yako ina automatic updates then ukapata net ya bure ambayo hai update window wala ant virus so updates kibao zikajilimbikiza

  Baada ya muda unaeka bundle (huku una updates kama 600mb hv) unategemea nini?

  Ushauri toa automatic updates
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mama wee, yaani 150mb voda wanachaji 3000/- tena kwa siku moja tu, wakati Airtel wanauza 400mb kwa 2500/- tu, halafu kwa mwezi mzima.
  wateja wa voda are you normal?
   
 6. d

  dav22 JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he he pole kaka
   
 7. D

  DanielP Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hizo ip za buqe na unaweza ku download pia na aliyewahi download speed vipi kubwa anielekeze kwa kutumia torrent kuweka ip hiyo
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,371
  Trophy Points: 280
  acha ushamba wewe! Unatakiwa line unayoitumia usiwe unaiwekea hela, huwa inaikatwa. Just tumia line yenye sh 0
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Huwa natumia line hiyo hiyo, kama nina vi2 vizito nashusha bure, kuna websites hazifunguki vizuri kwa free nanunua bundle inachapa kazi bila mashaka. Hata hvo hzo bundle unazonunua wewe kwa kazi zangu hazipitishi hata sekunde 60!!!....ndoogo sana mkuu, au ndy za kuingilia JF na facebook tu?:eyebrows:!
   
 10. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na usiku ni bure kweli airtel gari kubwa. naamia huko.
   
 11. G

  GHANI JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Si mchezo freee internet kila kona.
   
 12. Benny EM

  Benny EM JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 80  We nawasiwasi na update zak kwnye pc,km umeweka automatic update basi ujue itarun update bia we kujua,just click manual update..mi nimeweka leo y 500/= 20mb..asubuh mpaka mida hii bado inatwanga ile ile.
   
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimejiuliza swali hilo! Nina shemeji yangu ambae ni mwajiriwa wa vodacom lakini hatumii huduma zao (of course anatumia line wanayoilipia ila si ya matumizi yake binafsi), so what does that tell you?
   
 14. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mkuu, mi natumia sasatel, kwa sh 2000 napata mb 82, usijali wote tunakuja airtel, kunatosha?
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  huu ****** ilishawahi kunitokea nikitumia voda na sku hiyo hiyo nikakifinyanga kichip chao.hakuna cha updates wala nini ni wizi tu.sasa hivi ni raha mustarehe na bus la airtel na wao wakiniletea zengwe watanisahau!
   
 16. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  free interent haihusiani kabisaaa!! nadhani labda huelewi ile inavyofanya kazi
   
 17. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,877
  Likes Received: 6,320
  Trophy Points: 280
  Tigo line ndo mpango mzima unlimited mwaka mzima
   
 18. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Heu tuambie na wewe umefanyaje?...na speed iko vipi?
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mbona nimenunua asubh na naitumia mpk sasa
   
 20. mbwigule

  mbwigule JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Iko haja ya kuhoji umakini katika kufikiri wa watumiaji wa vifurushi vya Voda na hiyo mnayoiita Tigo kutokana na bei zao kubwa na huduma mbovu kabisa. Mi nilishaacha zamani kutumia vifurushi vya hiyo mitandao na sasa niko Airtel ambako naona mambo ni shwari. Labda ninapokuwa sehemu ambapo hakuna mtandao wa Airtel, jambo ambalo kwa siku hizi ni kama ndoto vile maana unapatikana sehemu nyingi ninazotembelea kwa hiyo modem za Tigo na Voda zinabaki mapambo tu. Wezi wakubwa hao!
   
Loading...