Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Hivi Mbeya ni masaa mangapi nyuma?April fool saa 20;49 !!!!april fools day guys ha ha
april fools day guys ha ha
april fools day guys ha ha
april fools day guys ha ha
leo nimeshangazwa na watu wakubwa ka wewe na C6 kuposti mashudu,pumba na utumbo...vilivyooza....wangekuwa jf members tunge watorerate lkn sio ma senior....technologia hauwez kua kwa mashudu ka haya ....samahani kama nimewakera
mshikaji umemind saaana, sasa unalalamika na kubwabwaja utakuwa hupewi vitu vizuri kwa sababu kama hizi, ina maana wewe peke yako ndo mwenye hasira ama? watu wooooote hawajaona ila wewe tu ndo umeumia? tena unanimind huyohuyo ambaye umenipm nikupe maujuzi, ungekuwa na staha ungekuja Pm ukasema yooote
Ishampalia mtu! :A S 39:ban inanukia.....
Tatizo letu wabongo we are not ready to face the reality,,ndo maana unaona mfano dhahiri tunaanza kuembeana BAN lkn haki siku zote itasimama kama isimamavyo sasa
Tatizo letu wabongo we are not ready to face the reality,,ndo maana unaona mfano dhahiri tunaanza kuembeana BAN lkn haki siku zote itasimama kama isimamavyo sasa
what reality? ukiwa na tatizo either personal au general tumia tu lugha nzuri ya kistaarabu, sasa kuita watu pumbavu, mashudu na maneno ya kejeli ndo ustaarabu kweli kaka njunwa?
mara chache sana kuona mtu anakula ban kwenye jukwaa hili coz wote tunaheshimiana hata ambao ni wageni, sio poa kumchana mtu lugha ambazo hata wewe usingefurahi kuitwa, nikajua umejifunza kitu kutokana ban mkuu?
Nyie watu,nani kawaloga?
Ugomvi wiki nzima,ndio hasira gani hizo,sasa?
sijagombana na mtu, mie full amani, tena sipendi ugomvi kabisaaa ila naona ban ya siku mbili haijamfunzi mtu, labda ya mwezi itasaidia.
what reality? ukiwa na tatizo either personal au general tumia tu lugha nzuri ya kistaarabu, sasa kuita watu pumbavu, mashudu na maneno ya kejeli ndo ustaarabu kweli kaka njunwa?
mara chache sana kuona mtu anakula ban kwenye jukwaa hili coz wote tunaheshimiana hata ambao ni wageni, sio poa kumchana mtu lugha ambazo hata wewe usingefurahi kuitwa, nikajua umejifunza kitu kutokana ban mkuu?
nilikosea nini? it was april fools, what did you expect? nani uwa anaandika vitu sensitive kama kupeana ujuzi wa free net kwenye wall ? ngoja nikufundishe kitu njunwa, kama ukiona mtu kaandika kitu na hujakipenda we kaa tu kimya usicomment maana mtu mwenye jazba uwa hana majibu mazuri mwisho wa siku utajikuta uko matatizoni, na ukipenda ushindane na mimi utanichukia bure na kuishia kuchukia jukwaa,Wanaoeshimiana mkuu najua HAWACHEZEANI AKILI HATA SIKU MOJA ,,ok nilifanya vibaya ku2mia lugha zilizo kukera,,lkn lazima ujue na ukubali REALITY ulikosea pia na wewe