Simu za aina zote zinauzwa zikiwemo hizo smartphones ila kuna taarifa ambazo bado sijazithibitisha ni kwamba!!
Simu hizo ni za laini moja tu ya vodacom na huwezi kuflash au kuchakachua kwa namna yoyote ile unayoijua wewe na ukifanya hivyo basi simu yako haitakuwa salama tena kwa matumizi hivyo itakuwa ya kutupwa tu!!!
Kwa msio jua kitu kinaitwa Contract phone basi ndio hiki kitu wanaenda kufanya, hiki kitu kwa walioishi nchi za nje USA UK ASIA wanakijua, unaingia mkataba na kampuni ya simu kwa muda fulani, mfano miaka miwili wanakupunguzia bei ya simu kwa asilimia kubwa sana unaweza ukauziwa hata laki moja au mbili simu ya milioni. au hata chini zaidi..ila kila mwezi unakua unawalipa kiasi flani cha pesa labda elfu 50 (inategemea na wanavyopanga ili kufaidi), hiyo wanakupa labda messages kadhaa, internet n calling minutes kadhaa, n ukiingia hujitoi au ukijitoa unalipia asilimia 100 ya ile simu...
Simu za aina zote zinauzwa zikiwemo hizo smartphones ila kuna taarifa ambazo bado sijazithibitisha ni kwamba!!
Simu hizo ni za laini moja tu ya vodacom na huwezi kuflash au kuchakachua kwa namna yoyote ile unayoijua wewe na ukifanya hivyo basi simu yako haitakuwa salama tena kwa matumizi hivyo itakuwa ya kutupwa tu!!!
Ukisema sio sahihi mkuu unasahihisha, ukikaa kimya watu wataelewa vipi? Sema kama kuna njia nyingine ambayo watatumia hawa jamaa kukata 80% ya bei ya simu. Na njia niliyoisema hapo juu si kwamba nje haitumiki, inatumika 100% nishawahi kua na contract phone najua nachokisemaSio sahihi.
umefika? bei ni rahis ya punguzo la 80% kama wanavyodai?Wazushi watupu. Wametupotezea mda.............................. Wezi tuu ndo mana mm situmiagi kbsa voda.