Kamanda chukua hii upgrade dashboard niliyo attach.
Ukishadownload hii software chomeka modem yako katika Pc then run hiyo software.
Mambo ya kuzingatia wakati unarun hiyo kitu
1.Hakikisha pc yako ipo on muda wote unaofanya hiyo upgrade.
2.Usichomoe modem kabla haijamaliza kuupgrade
3. wakati unaaendelea kuupgrade dashboard usirun program nyingine mda huo.
4.usishut down pc kabla ya kumaliza mchakato.
View attachment 83205