vodacom brand ambassadors

vodacom brand ambassadors

daisyvicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
343
Reaction score
198
Kwa mdada aliye Morogoro,Swivel marketing kwa kushirikiana na Vodacon inatangaza nafasi za kazi
-kwa wasichana miaka 18 na kuendelea
-elimu form four na kuendelea
-ajue kiswahili na kiingereza
-awe mkazi WA Morogoro
Usaili kuanzia tarehe 25/7/2013 ofisi za vodacom
Kwa mawasiliano piga 0764002002
. eeh nimejitahidi kucopy kama lilivyo,sasa hizo kazi sijui za kuuza line na kusajili..i don't know..kwa aliye interested anaweza kujaribu.Ntajaribu pia.
 
Kwa Mdada Dar es Salaam

piga namba 0767652503 au 0714652503
 
Kwa Mdada aliye Dar es Salaam

piga namba 0767652503 au 0714652503
 
Back
Top Bottom