kweli hata kama approximation sio ivo 3000 kwa 184 dyuHahahaaaaaaaa. Ulizani itakuwa equal amount
Chagua kusuka au kunyoa
washenzi kweli hawa watu kila siku wanabuni njia ya kutumaliza😀😀😀😀 utawatambua lini hawa wahuni Mimi so hangaiki na hii program zao za hovyo kwanza wameniuzi kuniondolea ile just for u ya 1000 ya wiki nzima mkuu
Mimi sku ya kwanza nataka ni convert into Tsh skuaminia maskio yangu ikabidi nicheke tu mana ili ufikishe tsh 1000 duh sjui tuzo ngapi kuishi kituzo ni ngumu mnokweli hata kama approximation sio ivo 3000 kwa 184 dyu
maana yake ili nifikishe buku lazima nwe na tunzi elfu 30 na mpaka nipate tuzo elfu 30nadhani ntakua nimefanya miamala karibu yenye thamani ya milionMimi sku ya kwanza nataka ni convert into Tsh skuaminia maskio yangu ikabidi nicheke tu mana ili ufikishe tsh 1000 duh sjui tuzo ngapi kuishi kituzo ni ngumu mno
Chagua kusuka au kunyoa
umeona we acha tyu
mkuu una macho hata mm niliandika sikuona nahic typin errorInaonesha kuna neno ni bingwa sana kuliandika,, soma mstari Wa pili baada ya koma
Fanya Ku edit basimkuu una macho hata mm niliandika sikuona nahic typin error
sasa si wizi huo kabisa
tiar mkuuFanya Ku edit basi
ngoja nijaribu aseeMkuu labda uzibadili kuwa dakik au mb angalau
End Justify Mean
yaani saizi mpaka kwenye biashara kuna siasa