Voda M-PESA Kulikoni? Tuondoleeni kadhia hii please! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Voda M-PESA Kulikoni? Tuondoleeni kadhia hii please!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bobby, Jul 6, 2010.

 1. B

  Bobby JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Nina jamaa yangu ametuma pesa zake wiki ya pili hii sasa na yule aliyetumiwa hajaipata bado kila akienda voda M-PESA anaambiwa mtandao wa uko down so ajaribu tena baadaye. Imekwenda hivyo mpaka sasa ni second week pesa hajaishika mkononi, najaribu kuimagine usumbufu anaoupata mteja huyu na wengine hasa ukitilia maanani kwamba mara nyingi watu wanaopt njia hii kwa ajili ya dharura.

  Swali kwenu vodacom ni lini mnadhani hiyo server yenu itakuwa UP? Na je hakuna namna ya yeyote ya kufanya compensation kwa wateja wenu kutokana na usumbufu wanaupata kwa kushindwa kuaccess pesa zao?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi nilishakumbwa na tatizo kama hilo, nilipiga namba mia moja ya Voda nikasaidiwa instantly na si kwenda kwa wakala pale nilipotuma pesa, wanasema yule hawezi fanya lolote pale, hawezi ku reverse zile transaction. Mwambie apige namba mia moja ya Voda atasaidiwa mara moja na si kurudi pale alipotuma pesa mkuu
   
Loading...