voda leo!

Nakuunga mkono. Voda matangazo mengi, bei ghali na huduma za kubumba!
 

Uncle Rukus unajua kwanini nasema hivyo, nimetumia vodacom, airtel na zantel kwenye modem na connection speed yangu inasoma 7.2Mbps lakini ninavyodownload inarange btn 64 - 300 kilobytes per second,,,angalia kwenye picha hapo..
 

nimekuelewa yussuf, tatizo ilikuwa uandikaji na dhana ya Kbps, KBps, MBps na Mbps...
kbps = kilobits per second(kbit/s)
Mbps = Megabits per second
MBps = MegaBytes per second
KBps = KiloBytes per second....
 
Uncle Rukus unajua kwanini nasema hivyo, nimetumia vodacom, airtel na zantel kwenye modem na connection speed yangu inasoma 7.2Mbps lakini ninavyodownload inarange btn 64 - 300 kilobytes per second,,,angalia kwenye picha hapo
Mkuu, hiyo 7.2mbps iliyoko kwenye modem yako ni njia tu yaani ni kama ukubwa wa barabara so inategemea unapitisha kitu gani kwenye hiyo barabara baskeli au fuso.....

mimi modem yangu inauwezo wa kuchukua hadi speed ya 3.6mbps lakini mitandao yetu speed zao zinaishia kwenye 2.5mbps kama ulivyo ona kwenye picha zangu hapo juu...

hivyo basi ukiwa na modem yenye uwezo mkubwa wa speed usifikiri utapata hiyo speed inayosupport modem yako bali utapata speed ile anayokusambazia ISP wako tu.
 
Swali rahisi nani ameshawahi kudowload movie kwenye torrent au idm ikamwambia spidi anayodownload nayo ni 1.0 mbps?!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…