Ntilla Member May 23, 2011 73 55 Jul 5, 2012 #1 Ninatumia line ya VODA na ninaongezewa salio na mwajili kwa VODAJAZA.. tatizo ni internet bundles nikinunua sipewi na hata cheka time sometime ni issue sijui kuna mtu ameliona hilo!?
Ninatumia line ya VODA na ninaongezewa salio na mwajili kwa VODAJAZA.. tatizo ni internet bundles nikinunua sipewi na hata cheka time sometime ni issue sijui kuna mtu ameliona hilo!?