Voda Internet

Voda Internet

Muzii

Senior Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
196
Reaction score
118
Heshima kwenu wakuu, naomba kufahamishwa taratibu za kupata kifurushi cha Voda Internet, natanguliza shukrani.
 
Nenda ktk shm za customer cervice zao wambie unataka bando ipo ya 2000 per month na kwenda juu
 
Heshima kwenu wakuu, naomba kufahamishwa taratibu za kupata kifurushi cha Voda Internet, natanguliza shukrani.
Mkuu nenda kwenye sehemu ya ujumbe mfupi andika kiasi unacho kihitaji mfano 500mb kwenda 123 na kila mb ni Tsh 40/= TU Furahia vodacom mtandao wakijanja.
 

INGIA HAPA
Internet Bundles

Ukishajua unataka ya Sh. ngapi fungua new message kwenye simu yako andika kiasi cha Mb unazotaka kisha tuma kwenda 15300
 
Mkuu nenda kwenye sehemu ya ujumbe mfupi andika kiasi unacho kihitaji mfano 500mb kwenda 123 na kila mb ni Tsh 40/= TU Furahia vodacom mtandao wakijanja.
Kweli Vodacom ni mtandao wa kijanja. Maana kwa taarifa yako hiyo 500MB ni sawa na shs 20,000/ wakati Bundle la 400MB kwa Airtel ni shs 2500/ tuu. Viwango vya Vodacom ni juu sana.
 
uwiiiiiiiiiiiii kwa voda mmeliwa kuweni makini siku hizi hata custome care wanalongo longo ukiwauliza kwa nini usajiri wa internet bundle wanakuunganisha kwa fundi wao utapingwa longolongon za kufa mtu wanakufundisha kama vile ujawai tumia miezi hii nimeliwa sana sasa nimeamua kujiunga na airtel maana moderm yangu haisupport cdma ningeenda zantel ni wazuri zaidi
 
Shukrani ziwafikie wote mliotoa ushauri nimefanikiwa asanteni idumu JF
 
kiukweli kabisa, internet ya airtel ndiyo iko reasonable - kwa kasi, bei na coverage. nilikuwa nafanya a lot of web streaming, nimetest services za kampuni za zantel, vodacom na airtel, katika zote, airtel peke yake ndiyo haina kwikwi, zilizobaki ni kwa ajili ya normal surfing tu.

airtel, kwa shilingi 2500 unapata 400Mb, (hakuna aliye nafuu zaidi ya hapa).

niliikuwa naishi hukooo madongo kuinama, lakini 3G ya Airtel ilikuwa inafika, zilizobaki ni maeneo karibu ya mjini tu.
 
@mgt software
Modem yako na aina gani hata isisapoti WCDM ?...ya mezani?...be care mwana kama ni ya USB/3G Modem pengine ni Network Setting tu ktk ele App yao.:bored:
 
Vodacom Unlimited Internet Service, text BOMBA30 to 123, hakikisha una 30,000/= kwenye simu yako..baada ya hapo, confirmation message then u have a Go!!Speed inategemea na Modem yako, kama ni 3G utapata 3.6MBPS, kama ni 3.5G utapata 7.2MBPS..Cheerz' :A S-key:
 
Kuna CHEKA INTERNET ambayo ni Tshs.500/= kwa 20Mb sinazotumika kwa siku moja n.k

Pia kuna Internet Bomba ambayo kwangu mimi naona ni nzuri hasa maana yenyewe ni UNLIMITED ambapo kuna Internet bomba ya siku 7 ambayo unalipia Tshs.10,000/=(Tuma sms kwa kuandika Bomba7 kwenda 15300) na unapata huduma ya Internet ambayo ni unlimited,unaweza kudownload kiasi chochote unachotaka ndani ya wiki 1.

Vile vile kuna Internet bomba ya siku 30 ambayo unalipia Tshs. 30,000/=(Tuma sms kwa kuandika Bomba30 kwenda 15300) na unapata huduma ya Internet ambayo ni unlimited,unaweza kudownload kiasi chochote unachotaka ndani ya mwezi mmoja.
 
Vodacom Unlimited Internet Service, text BOMBA30 to 123, hakikisha una 30,000/= kwenye simu yako..baada ya hapo, confirmation message then u have a Go!!Speed inategemea na Modem yako, kama ni 3G utapata 3.6MBPS, kama ni 3.5G utapata 7.2MBPS..Cheerz' :A S-key:
Kwenye red, voda wanakulimit kwa speed kwenye hiyo unlimited yao unapewa 64kbps, hivyo siyo kweli kwamba inategemea na uwezo wa speed ya modem.
 
Kwenye red, voda wanakulimit kwa speed kwenye hiyo unlimited yao unapewa 64kbps, hivyo siyo kweli kwamba inategemea na uwezo wa speed ya modem.

Inategemea na mnara wa sehemu ulipo mkuu,kuna minara inakuwa na Internet speed ya GPRS pekee ambayo limit yake inakuwa 64kbps lakini kuna minara ambayo ina WDCMA na HSDPA ambazo limit yake ni kati ya 500kbps na 1mbps na hii ndo yapatikana hapa nilipo mimi,iko faster kiasi kwamba naweza kudownload movie ya 700mb ndaniya masaa matatu tu kwa hiyohiyo Internet bomba ya Bomba7 na Bomba30
 
Mh. Balatanda asante sana kwa kumuelewesha Rukus, mimi pia ni mtumiaji wa Bomba30 na kwa network coverage ya WCDMA na HSDPA naweza kudownload zaidi ya movie moja kwa siku.. nadhani network coverage pia inachangia, kwa mfano ukipata network coverage ya EDGE, speed ya data transfer haizidi ile ya WCDMA na HSDPA..
 
voda ni bunch of loons!!najiunga na bomba7 bt hela haikatwi wla nn,hamna confirmation msg,et cstmr cr wanasema zma cm then uwashe!bt nthng!huo ni mtandao ss!
 
Back
Top Bottom