yeah it all depends on where u r bt also the network matters,i hav tried tigo(worst),then sasatel(better),ttcl banjuka(fair) and airtel(best) en am around ukonga area.
ttcl broadband ndio wenyewe. Speed hakuna mfano. Hizo 4 gb nadhani inashusha na kwa saa moja! ninashangaa sana watu wanaosifu mtandao unaoshusha 4 gb kwa masaa 7-8
ttcl broadband ndio wenyewe. Speed hakuna mfano. Hizo 4 gb nadhani inashusha na kwa saa moja! ninashangaa sana watu wanaosifu mtandao unaoshusha 4 gb kwa masaa 7-8
Sijui sana kuhusu 1Mbps,512Kbps au 256Kbps ila nina chukua kifurushi cha 4gb kwa mwezi speed ya kudownload au ku upload inatisha!
Nina hivi vimoderm vya voda na zantel nakwambia ni uchovu tupu! That's all I can testify!