Vocha zinatengenezwaje?

Geofree

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
44
Reaction score
5
WanaJF hivi vocha za simu mfano:tigo.... ni ujuzi UPI wanatumia kuzitengeneza? tuelimishane wadau
 
WanaJF hivi vocha za simu mfano:tigo.... ni ujuzi UPI wanatumia kuzitengeneza? tuelimishane wadau

Navyojua hii huwa ni aina ya encryption ambapo vocha zinakuwa na tarakimu (cipher txt) ambazo zinafanyiwa decryption kwa key maalum ambayo ni ya siri pale unapoweka vocha inatumwa kwenye server ya kampuni ambayo kuna database ya vocha hizo...
 
Kuna sredi moja tulilijdili hili kwa mapana yake
Natumia simu napata shida kusearch hiyo sredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…