VLC Player imeshavaa kofia ya X-mas

VLC Player imeshavaa kofia ya X-mas

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,689
Reaction score
26,568
Ni kawaida kila mwaka mwezi december ukiitumia vlc player utaiona icon yake ikiwa na kofia ya father x-mas, je uliwahi liona hili?
 
Nimeona mkuu, maana nimeitest sasa hivi nikaona hicho kitu
 
Hicho sio kikofia, ni kile kifaa kinachotumika barabarani kuonyesha kuwa kuna ujenzi unafanyika na njia imefungwa.
 
Hicho sio kikofia, ni kile kifaa kinachotumika barabarani kuonyesha kuwa kuna ujenzi unafanyika na njia imefungwa.

nafikiri ujaangalia vizuri. Cheki kwenye title bar kushoto kabisa.
 
Hawa wadau wapo juu hii plan yao inaonekana waliiset tangu mwanzo kwahyo inachange automatically coz kimatumizi haipo online.kaz nzur
 
Hicho sio kikofia, ni kile kifaa kinachotumika barabarani kuonyesha kuwa kuna ujenzi unafanyika na njia imefungwa.

Kama Computer yako inasoma tarehe za kabla ya December huwezi kuona hicho kitu.
Jaribu kurekebisha tarehe.
 
Back
Top Bottom