VLC Media Player

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari wadau...

Nina miziki ambayo iko katika format ya VLC. Computer yangu iliformatiwa na ikafuta VLC Media Player, sasa najaribu ku-download toka kwenye Internet lakini baada ya ku- download inanipa message hii "VLC Media Player just crashed. Do you want to send a bug report to the developer team?"

Je kuna Media player nyingine ambayo naweza kuplay musics ambayo iko katila format ya VLC????

Msaada tafadhali.... Asanteni!
 
kwanza hamna format ya vlc nafkiri kiswahili kizuri ungesema miziki yenye format ambazo zinakua played na vlc.

Jaribu kwenye hio miziki right click then open na windows media player

ikishindikana tumia alternative hizi za vlc

-kmplayer
-gom media player
-real player
-divx player
-zoom player
-winamp
-bs player
-media player classic
 
Inawezekana ume format partition tu ya hard-drive, maana inaonekana kama vile bado vijidudu bado vimo ndani ya computer na ndio tatizo.

The bad news ni kwamba computer yako bado ina virus and it needs new installation, na usirudishe vitu vya dhamani ulivyovi-save elsiweya vitakuwa na vidudu kama uli-format computer yote hawali.
 
tafuta universal codec uinstall utaweza play almost kila kitu kwa windows media player
 

Mkuu asante kwa kunielewesha... Si unajua tena lugha za kitechnonogy...

Nimefanya kama ulivyosema kuwa ni-right click then niopen with Windows Media Player ikanipa message hii. "Windows Media Player cannot play this DVD because a compatible DVD decoder is not installed on your computer
 
Mi najua hapo unatakiwa ufanye nini lakini i wont say it
 

fanya kama alivosema elmagnifico umemiss vitu vya kuplay dvd it seems kama hio miziki yako ulirip dvd
 
Do you want to send a bug report to the developer team?" (sema DONT SEND NA UTAONA MUSIC UNAANZA KUIMBA)very easy like falling from a coconut tree
 

Could not locate remote server

You tried to access the address http://www.fs40.filehippo.com/9360/f26333ed542e40bf8f4983934fafd681/K-Lite_Codec_Pack_970_Mega.exe, which is currently unavailable. Please make sure that the web address (URL) is correctly spelled and punctuated, then try reloading the page.
Make sure your internet connection is active and check whether other applications that rely on the same connection are working.
Check that the setup of any internet security software is correct and does not interfere with ordinary web browsing.
If you are behind a firewall on a Local Area Network and think this may be causing problems, talk to your systems administrator.
Try pressing the F12 key on your keyboard and disabling proxy servers, unless you know that you are required to use a proxy to connect to the internet. Reload the page.
 
Mkuu chief-mkwawa asante nimefanikiwa kwa kutumia Media Player Classic....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…