Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

Will Israel Surrender to Putin's Warning?

  • Yes

  • No,Never.

Results are only viewable after voting.
Assad amemwongezea eneo Russia ku-extend military base. Hapo Putin analipa fadhila.....anamtisha Israel Assad afurahi. In the long run hiyo threat hautakuwa na maana yoyote Israel ataendelea kujilinda kila inapobidi kufanya hivyo.
 
Nyie si msubili tu muone,huyo mmarekani tu atasubili sana mbele ya mrusi huyo ndie putin bana je mmeshawai kuijua ndege ghali sana ya kivita duniani MIG 35 na MIG 45 gharama zake ni $ mil 35 na $ mil 45 hizo ni badhi tu za siraha,ndio isirael ni taifa teule la mungu sikatai,hicho ndicho kilichojaa vichwani pa watu kiasi cha kuamini hakuna taifa lenye kummudu hapa duniani,na ukweli ni kwamba isirael haijawi kupigana vita na mataifa makubwa na yenye kujimudu kisiraa km urusi,mmarekani yupo nyuma ya isirael mrusi yupi kivyake na nu taifa kisiraa duniani linashindana na mmarekani peke yake,isirael ni ya nane duniani kiurinzi urusi ni ya kwanza ikichuana na mmarekani.acheni historia tusubili tuone kitakachojili,je putin atakubali kuchezewa km muarabu?
Hahahaha sasa hizo ni ghali
Tafta f22 ndege ya dunia utaona gharama yake hyo f22 ni sawa na f15 arobaini
Na hyo f15 haijawai kuangushwa na ndege yoyote ya mrusi au uchaf mwingine sehem yoyote, ndo maana inaitwa Mig-killer
Kuna b2 pure stealth

Jiulize kwann mrussi akiwakiana na mmarekani anakimbilia kusema hato hesitate kutumia nuclear zake?????
Kama unaakili umenielewa
 
Mrussi ni wa pili kisiraa na anaingia mara3 kwa mmarekani kwan mmarekani yuko advanced kila ki2 mbele ya mrusi
Na hakuna vita ambayo mrusi kashinda kwa mmarekani interms of support
Sio afghastan, sio Ukrain sio Libya sio iraq au kwingine kote
Ni kwasabab mmarekani anavifaa vizr zaid yake
But as african tumafrahi hii balance of power na kutoelewana maana inafaida kwetu
 
Mchawi akikushindwa anakitafuta kwa ndugu kama huna basi hata kwa wanao, huyu Russia anajua Israel still the heart of USA alafu analeta bangi, nahisi anatafuta kick tu huyu Putin, Israel anajitosheleza kumfagia Russia within several minutes, alafu anasahau kwa USA Britain wapo nyuma yake,hasilete habari za kuifanya Russia kuwa pori,
ACHANENI NA WATEULE, ISRAEL SIO TAIFA LA KIDUNIA KAMA HAWA WAPUUZI.
Hamjiulizi kwanin USA anafyata mkia anaishia kutoa sadaka ambayo anabarikiwa nayo
Hivi unafahamu masuala ya kijeshi au unatoa povu tu hapa, yaani Israel ni wa kuifagia Rassia kwa min kadhaa are you serious?, acha unazi usio na msingi. Ulidhani umeandika point kumbe umejishushia na kuonekana ni mgeni katika masuala ya ulinz na usalama. Labda Rassia iwe ni tz ndio useme itafutwa kwa masaa kadhaa. Hata kama ulitaka kutudanganya NOT TO THAT EXTENT.
 
Nyie si msubili tu muone,huyo mmarekani tu atasubili sana mbele ya mrusi huyo ndie putin bana je mmeshawai kuijua ndege ghali sana ya kivita duniani MIG 35 na MIG 45 gharama zake ni $ mil 35 na $ mil 45 hizo ni badhi tu za siraha,.......................
Ziangalie vizuri hizo bei, nahisi hizo ndege hata Tanzania inaweza kuzinunua kwa wingi au ndiyo story mnazopiga kwenye vikao vya kawaha?
 
Hahahaha sasa hizo ni ghali
Tafta f22 ndege ya dunia utaona gharama yake hyo f22 ni sawa na f15 arobaini
Na hyo f15 haijawai kuangushwa na ndege yoyote ya mrusi au uchaf mwingine sehem yoyote, ndo maana inaitwa Mig-killer
Kuna b2 pure stealth

Jiulize kwann mrussi akiwakiana na mmarekani anakimbilia kusema hato hesitate kutumia nuclear zake?????
Kama unaakili umenielewa
Kwa iyo kuanguka mpaka iangushwe na ndege. ikiangushwa na anti air missile bado inakuwa haijanguka au inafufuka tena
 
Mrussi ni wa pili kisiraa na anaingia mara3 kwa mmarekani kwan mmarekani yuko advanced kila ki2 mbele ya mrusi
Na hakuna vita ambayo mrusi kashinda kwa mmarekani interms of support
Sio afghastan, sio Ukrain sio Libya sio iraq au kwingine kote
Ni kwasabab mmarekani anavifaa vizr zaid yake
But as african tumafrahi hii balance of power na kutoelewana maana inafaida kwetu
Muda mwingine uwa mnachekesha san, ukraine jimbo la crimea limechukulia hadi leo imebaki story na pia majimbo ya donesk na luhansk nayo yamebaki story sasa hapo nani mshindi kama sio urusi. Iraq vita inaendelea mpaka leo.libya juzi tu urusi kapeleka wanajeshi maana marekani kachemka. Sina tu kumbukumbu za vietnam war sijui mshindi alikuwa nani ila kam unakumbukumb unawez ukaniambia
 
fb6ab9dcceccd84f907b216fc663e1dd.jpg
Tatizo hilo Sarmat litapita njia gan mpk lifike Israel. Maana Urusi yenyewe inalalamika kwamba Radar za US zinaona karibia nchi nzma mambo linalopunguza ufanisi wa hzo ICBM + missile defenses kibao za US zilizopo eneo hilo.
Tatizo sio kuona, tatizo je unauwezo wa kulishusha maana si kiwepesi kama unavyojua wew. Ss-18 satan ina vichwa 40 vya maboya inamaana mpaka kuvijua vichwa vyote inabidi ufanye kazi san. Sarmat icbm ndo kiboko hii ina hadi countermeasure ya kutungua makombola. Inamaana kombola linaenda uku linajilinda. Ingekuwa rahisi marekani asingejenga miji ya chini ya ardhi kipindi kile cha cold war
 
a7dc0bec8de7c596b74caa0c89c4ba26.jpg
Kwhyo mkuu unabishana na Warusi wenyewe wanaosema kwamba hzo Ant missiles za US zinapunguza uwezo wao wa kushambulia Marekani?!
Half hilo Sarmat ICBM halina uwezo huo wa kubeba et warheads 50,hilo kombora la warheads 50 tusubiri labda 2050.Lina uwezo wa kubeba up to 10heavy warheads au 15lighter warheads au 24 hyper sonic glind vehicles.
Half sio kwamba lina uwezo wa kudungua ant missiles interceptor HAPANA, ila lina uwezo wa kuzichanganya. Pia kajaribu kuipitia SM-3 ya mmarekani, hyo ina uwezo wa kutofautisha real warheads na warheads za ukweli.
4f0e8f21201e699d9f8d35bd09f17c57.jpg
 
Back
Top Bottom