Vladimir Putin Warns Israel To Leave Syrian Airspace Immediately Or Russia Will Take Action

Will Israel Surrender to Putin's Warning?

  • Yes

  • No,Never.

Results are only viewable after voting.
Urusi ndiye aliyembembeleza Uturuki ,urusi anamhitaji sana Uturuki

Uturuki naye baada ya kuwa na mgogoro na EU kajiegemeza kwa urusi

Uturuki hakushindwa bali alikuwa anamkomoa USA
Sidhan kama alibembelezwa ila mrusi anamhitaj mturuki au yyte aliyekinyume na marekani.
 
Urusi ndiye aliyembembeleza Uturuki ,urusi anamhitaji sana Uturuki

Uturuki naye baada ya kuwa na mgogoro na EU kajiegemeza kwa urusi

Uturuki hakushindwa bali alikuwa anamkomoa USA
Mkuu hapo nadhani baada ya Yale mapinduzi ambayo ilionekana marekani ana mkono wake kushindwa, ivyo mturuki akaamua kuyamaliza na mrusi maana ndo alimuokoa!,
Mchezo Ulikuwa marekani aweke kibaraka wake jirani na urusi,then ange revoke mikataba yao....
Hali ngekuwa ngumu kwa urusi zaid..
 
Mchawi akikushindwa anakitafuta kwa ndugu kama huna basi hata kwa wanao, huyu Russia anajua Israel still the heart of USA alafu analeta bangi, nahisi anatafuta kick tu huyu Putin, Israel anajitosheleza kumfagia Russia within several minutes, alafu anasahau kwa USA Britain wapo nyuma yake,hasilete habari za kuifanya Russia kuwa pori,
ACHANENI NA WATEULE, ISRAEL SIO TAIFA LA KIDUNIA KAMA HAWA WAPUUZI.
Hamjiulizi kwanin USA anafyata mkia anaishia kutoa sadaka ambayo anabarikiwa nayo
 
Ukumbuke pia Urussi anaweza kumtowesha Israel within minutes.
 
Mchawi akikushindwa anakitafuta kwa ndugu kama huna basi hata kwa wanao, huyu Russia anajua Israel still the heart of USA alafu analeta bangi, nahisi anatafuta kick tu huyu Putin, Israel anajitosheleza kumfagia Russia within several minutes, alafu anasahau kwa USA Britain wapo nyuma yake,hasilete habari za kuifanya Russia kuwa pori,
ACHANENI NA WATEULE, ISRAEL SIO TAIFA LA KIDUNIA KAMA HAWA WAPUUZI.
Hamjiulizi kwanin USA anafyata mkia anaishia kutoa sadaka ambayo anabarikiwa nayo
not to such extent, Russia is much tougher than Israel, Israel normally doesn't stand alone always as he's closely compacted with his fellows who made Israel to emerge again on the earth.
 
Sio kama unavojua mkuu, urus hawez hata kidogo kwa wale jamaa, ISRAEL ana vitu vingi sana
Nyie si msubili tu muone,huyo mmarekani tu atasubili sana mbele ya mrusi huyo ndie putin bana je mmeshawai kuijua ndege ghali sana ya kivita duniani MIG 35 na MIG 45 gharama zake ni $ mil 35 na $ mil 45 hizo ni badhi tu za siraha,ndio isirael ni taifa teule la mungu sikatai,hicho ndicho kilichojaa vichwani pa watu kiasi cha kuamini hakuna taifa lenye kummudu hapa duniani,na ukweli ni kwamba isirael haijawi kupigana vita na mataifa makubwa na yenye kujimudu kisiraa km urusi,mmarekani yupo nyuma ya isirael mrusi yupi kivyake na nu taifa kisiraa duniani linashindana na mmarekani peke yake,isirael ni ya nane duniani kiurinzi urusi ni ya kwanza ikichuana na mmarekani.acheni historia tusubili tuone kitakachojili,je putin atakubali kuchezewa km muarabu?
 
Vita ya Maslahi wanataka lazima pipeline ya Gas ipite Syria kuelekea Turkey ikitokea Qatar, Upande wa pili Putin analinda maslahi ya soko lake la Gas Ulaya

094d5929f2a7da0ec47855659dcc8df8
 
Israel hawezi kutii amri ya nchi inayotegemea misaada kutoka usa kama wao!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom