VKP Investment tunauza na kukopesha Mashamba, Viwanja, Ujenzi na Upimaji

Unatoa uzi wewe mwenyewe alafu unajijibu mwenyewe kweli Tanganyika kuna maajabu makubwa aise!!!!!
Ndg zangu nadhani huwa tunachanganya mambo, hili ni tangazo na si Uzi. Hivyo anaweza kuandika chochote kinacho husu tangazo lake saa na wakati wowote.
 
Vya milioni moja hakuna mkuu?na kuna uhakika gani wa kumiliki ardhi? Make dunia sasa imeharibika,lingekuwa basi ningeomba isimame nishuke!
 
Link hapo chini imekaaje naleo mpo mahakamani
Mlionunua viwanja mjipime
Na kumeibuka vikampuni vingii vya kuuza viwanja vyoye ni tawi moja,kikinuka huku kule hela inapigwa
Fungua YOUTUBE uone baadhi ya list ya majina ya waliota pesa zao za viwanja

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom