Vizuri kula na Ndugu zako

njiazote

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
21
Reaction score
23
Wana jamvi nawasalimu,

Hili ni bandiko langu la kwanza tangu
nimejiunga hapa JF zaidi ya miaka miwili iliyopita. Leo nimeamua kuingia uwanjani na kushiriki habari nzuri niliyonayo.

Kwanza Mimi napenda kuvaa vizuri, kupendeza na kunukia vzuri, hvyo moja kati ya threads nyingi ninazo pitia humu znahusiana na maswala ya kutupia pamba, maswala ya kupendeza na kunukia poa.

Sasa wale wenzangu na mm ambao nao wanapenda mambo kama hayoo leo nina habari poa sana na napenda kuwashirikisha na nyie pia, nayo ni hiiiiii.... Kuna duka moja hviii linauza viatu vzuri sanaa vya wanaume, na bei ziko poa saaaanaaaa. Duka liko kurasini ubavuni mwa kanisa la Katoliki.
Kuona hyo mikato ya nguvu unaweza kutembelea au kuwafuata kwenye ukurasa wao Instagram kwa jina mitumba_og ili ujionee zaidi.

Karibu kunishukuru baadae
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…